Mmea

Article on other languages:

del.icio.us del.icio.us
Digg Digg
Furl Furl
Reddit Reddit
Rojo Rojo
Add to OnlyWire

Mimea ni moja ya kundi la viumbe hai duniani ikijumuisha miti, maua, mitishamba,n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.

Sayansi inayochunguza mimea huitwa botania ni kitengo cha biolojia. Kwenye uainishaji wa kisayansi Mimea hujumlishwa katika himaya ya planta kwenye milki ya Eukaryota.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Mmea" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Mmea kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.