|
Article on other languages:
|
Hektari ni kipimo cha eneo lenye upana na urefu wa mita mia moja. Hektari moja ina mita za mraba (=m²) 10,000. Kifupi chake ni ha. Msingi wake ni kipimo cha urefu cha mita (m). 1 ha = 0,01 km² = 100 Ar = 100 m × 100 m = 10.000 m² 1 km² = 1.000 m × 1.000 m 100 ha = 1 km² Hektari ni kipimo kinachotumika hasa kupimia maeneo ya kilimo. |
This article is from Wikipedia. All text is available under the terms of the GNU Free Documentation License.